Best Songs
Dive into the most impactful and listened-to **swahili** songs. Our curated list is based on community ratings and popularity, featuring powerful lyrics and enriching melodies.
This dynamic chart is constantly updated to bring you the best in swahili music ministry. Discover new favorites and revisit timeless classics.
Wewe ni Baba
Essence of Worship
Views: 21,890
Haku Haku Haku Haku yee Umeinuliwa zaidi ya milima yote duniani Matendo yako makuu ya ajabu Yatisha kama nini Umeinuliwa zaidi ya milima yote duniani Matendo yako makuu ya ajabu ...
Yesu Wastahili
Boaz Danken
Views: 20,003
Aaaaaah Eeeeeeh Yesu wastahili heshima na utukufu Aaaaaah Eeeeeeh Yesu wastahili heshima na utukufu Tumwambie Bwana Aaaaaah Eeeeeeh Yesu wastahili heshima na utukufu Mwambie tena Aaaaaah Eeeeeeh Yesu wastahili heshima...
Rafiki Mwema
Groupe Chandelier de Gloire
Views: 16,834
Kuna yule aliyenipenda Si kwa ajili ya mali Alinipenda wala hakujali udhaifu wangu Akanionyesha upendo ambao sijaona kwa wengine Huyu halali wala hasizinzii Hata leo hajawai kunichoka eeeh Kuna yule...
Uniongoze
Ephraim Sekeleti
Views: 16,452
Uniongoze na huruma zako
Usipo nibariki siwezi enda
Minajuwa bila nguvu zako siwezi kuenda
Minajuwa bila nguvu zako siwezi kwenda
Kwa mkono wako kweli umenibariki ii
Kwa mkono wako kweli...
Pokea Sifa
Eunice Njeri
Views: 15,415
Skiza tune: Sms "Skiza 7380975" to 811Pokea sifa eeh Mungu (ewe Mungu) Pokea sifa eeh Mungu (ewe Mungu) Pokea sifa eeh Mungu (ewe Mungu) Eeh Haleluya (Amen), Haleluya (Amen) Haleluya (Amen Haleluya) Hae hae imbia...
Roho Mtakatifu
Essence of Worship
Views: 14,822
Roho mtakatifu, utujaze na nguvu zako Utuhudumie, Uyaguse maisha yetu Roho mtakatifu, utujaze na nguvu zako Utuhudumie, Uyaguse maisha yetu Mito ya maji inyeshe sasa Mito ya maji inyeshe sasa Mito ya maji inyeshe sasa Mito ya...
Msalaba ndio asili ya mema
Angela Chibalonza
Views: 14,779
Sioni haya kwa Bwana,
Kwake nitang’ara!
Mti wake sitakana,
Ni neno imara.
(Chorus)
Msalaba ndio asili ya mema,
Nikatua mzigo hapo;
Nina uzima, furaha daima,
Njoni kafurahini papo.
Kama kiti...
Shangilia - Moyo Wangu Sifu Bwana
Aflewo
Views: 14,720
Moyo wangu sifu Bwana, sifu Bwana
Siku zote, Halleluyah Hallelujah
Imba imba, anaweza anaweza
Tumshangilie kwa shangwe, anaweza
Ndiye Bwana wa mabwana,
Oooh Moyo wangu
Moyo wangu sifu Bwana, sifu...
Mtakatifu
Frank Njuguna
Views: 13,989
Sitaabudu miungu mingine iliyo na mifano yeyote
Sitapiga magoti yangu nisujudu
Nitakusanya sadaka zangu ziwe manukato
Kwa Yesu, Astahili Sifa ( x2)
Naleta sadaka za sifa Kwako Bwana
Heshima na...
Sijaona Kama Wewe
Isaac Kahura
Views: 13,560
Hakuna Mungu kama wewe Wajulikana kuwa una nguvu Mbingu na nchi hakuna mwingine Wakuabudu wewe ni Baba Mungu Hakuna Mungu kama wewe Wajulikana kuwa una nguvu Mbingu na nchi hakuna...
Nachotaka - Nachotaka niwe Niwewe Tu
Emma Omonge
Views: 13,399
Nachotaka niwe niwewe tu Nachotaka niwe niwewe tu Haja ya moyo wangu Yesu uu Haja ya moyo wangu Yesu uuh .Kama ayala atafutavyo maji Zaidi ya udongo mkavu Uonavyo kiu...
Ni Ujumbe Wa Bwana
Doudou Manengu
Views: 13,288
Ni ujumbe wa Bwana haleluya, kwa maisha ya daima,
Amenena mwenyewe haleluya, utaishi ukitazama
Tazama ishi sasa, kumtazama Yesu,
alinena mwenyewe, haleluya! utaishi ukitazama
Uzima wa daima haleluya , kwake...
Haufananishwi
Boaz Danken
Views: 13,163
Wewe ni Mungu, mpasua bahari Haufananishwi na kitu kingine Haufananishwi na kitu kingine . Wewe ni Mungu, mtuliza mawimbi Haufananishwi na kitu kingine Haufananishwi na kitu kingine (rudia toka juu)...
Umenipa Uhai Baba
Mercy Linah
Views: 13,118
Umenipa uhai Baba
Nafasi nyingine ya siku mpya, Baba nashukuru
Umeniponya roho na mwili
tabibu wa ajabu ewe Yesu, Baba nashukuru
Umeondoa laana Baba,
Kabadilisha kuwa baraka, Baba nashukuru
Kilio...
Kijito Cha Utakaso
Diana Sarakikya
Views: 13,022
Kijito cha utakaso ni damu ya Yesu (The cleansing river is the Blood of Jesus) Bwana anao uwezo kunipa wokovu (The Lord has the authority to grant me salvation) Viumbe...
Nitaingia Lango Lake
Sarah Wangui
Views: 11,346
Wakati nitajikuta, mbinguni kwa baba,
Nitajua ya ulimwengu nimeshayaacha,
Halleluya nitasifu, kufika mbinguni,
Hossana nitaingia kwa shangwe
Nitaingia lango lake na sifa moyoni,
Nitaingia kwa shangwe kuu,
Nitasema ni siku...
Mbele ninaendelea - Ee Bwana Uniunue
Sarah K
Views: 11,323
Mbele ninaendelea ninazidi kutembea
maombi uyasikie eeh bwana unipandishe
Ee bwana uniinue, kwa imani nisimame,
nipande milima yote ee bwana unipandshe
Si natamani nikae mahali pa shaka kamwe
hapo wengi...
Wewe ndiye Mungu hubadiliki - Nimeliguza
Paul Mwai
Views: 11,204
Nimeliguza vazi lako Elohim, nayo maisha yangu ukayabadilisha
Nimekujua Hosonna, tena kanipa uhai bila kulipa
Mie nitaubeba mzigo wako Rabii, kwa kuwa mzigo wako ni mwepesi sana
Nira yako ni...
Hakuna Usiloweza
Essence of Worship
Views: 10,964
Hakuna hakuna hakuna Hakuna usiloweza Hakuna hakuna hakuna Hakuna usiloweza Wewe ni Mungu wakuabudiwa Milele yote wewe ni kiongozi Uliwavusha wanaisraeli Bahari ya shamu kwa uwezi wako Maserafi makerubi wanasujudu mbele zako wanazivua taji zao mbele zako wakisema Niwewe wastahili...
Tunaleta Sifa
Essence of Worship
Views: 10,833
Wewe ni Mungu Hakuna mwingine wa kuabudiwa Unastahili sifa zote Wewe ni Bwana aah Tunaleta sifa zetu kwako Maana wewe ndiwe Mungu mkuu Tunaleta sifa zetu kwako Bwana Tunaleta sifa zetu kwako Maana wewe ndiwe Mungu mkuu Tunaleta sifa...
Uweponi Mwako
Martin Murunga
Views: 10,543
https://www.youtube.com/watch?v=xfHVJd4ziRU
Uweponi mwako, uweponi mwako
Nataka niwe uweponi mwako
Chini ya miguu yako karibu nawe Yesu
Nataka mimi niwe uweponi mwako
Nifiche kwa mabawa yako karibu nawe Yahweh
Nataka niwe...
Mnyunyizi Wangu
Sarah K
Views: 10,517
Uninyunyiziaye maji, wakati wa ukame
Huwachi ninyauke, Oh nakupenda
Uninyunyiziaye maji, wakati wa ukame
Huwachi ninyauke, Oh nakupenda
Nakupenda, nakupenda
Mnyunyizi wangu, Oh nakupenda
Nakupenda, nakupenda
Mnyunyizi wangu, Oh nakupenda...
Nena Nami
Marggie Dawn
Views: 10,388
Nena nami, nena nami Bwana Sema Bwana na moyo wangu Lisikie sauti yako Bwana nena, nena nami Nimechoshwa na sauti za watu Natamani sauti yako Inielekeze kwa njia zako Bwana nena, nena nami Nena nami, nena nami Bwana Sema...
Usifiwe
Kestin Mbogo
Views: 10,199
Usifiwe uabudiwe Oh matendo yako Bwana ni ajabu Usifiwe uabudiwe Oh matendo yako Bwana ni ajabuUsifiwe uabudiwe Oh matendo yako Bwana ni ajabuUsifiwe uabudiwe Oh matendo yako Bwana ni ajabuMungu, wee ni Mungu Tumeuona mkona wako Mungu,...
Moyo Wangu
Patrick Kubuya
Views: 9,507
Moyo wangu Moyo wangu usilie tena Moyo wangu usibabaike Unaye mungu mukuu sana Unaye mungu muweza wa yote .Aliingia roho mwangu,kanipa utulivu Kaniambia ewe mwanangu usi lie lie tena, nina...
kazi yangu ikiisha nami nikiokoka - Nitamjua
Emachichi
Views: 9,462
Kazi yangu ikiisha, nami nikiokoka
Na kuvaa kutokuharibika, Nitamjua Mwokozi nifikapo ng’amboni
Atakuwa wa kwanza kunilaki.
Nitamjua, nitamjua, nikimwona uso kwa uso;
Nitamjua, nitamjua, kwa alama za misumari.
Furaha nitapata...
Unaweza
Boaz Danken
Views: 9,385
Unaweza unaweza unaweza unaweza Hakuna jambo lililo gumu la kukushinda YesuUnaweza unaweza unaweza unaweza Hakuna jambo lililo gumu la kukushinda Yesu Bwana akamwambia Yeremia Nenda nyumbani kwa mfinyanzi Utamwona mfinyanzi anavyofinyanga chombo Kilichoharibika anakifinyanga tena Anakifinyanga tena jinsi...
Wewe ni Mungu
Israel Ezekia
Views: 9,106
Wewe ni Baba wewe ni Mungu Unayetunza maagano Unasimama na neno lako Wewe ni Baba, wewe ni Mungu Wewe ni Baba wewe ni Mungu Unayetunza maagano Unasimama na neno lako ...
Hunificha Hunificha - Tufani inapovuma
Elizabeth Nyambura
Views: 9,016
Tufani inapovuma,
Sana moyoni mwangu,
Huona pa kujificha,
Mkononi mwa Mungu,
Hunificha, hunificha, Adui hatanipata
Hunificha, hunificha, Mkononi mwake.
Pengine kuna taabu,
Yanisongeza kwake,
Najua si hasira,
Ni ya mapenzi...
Umetukuka
Israel Ezekia
Views: 8,592
(leader)
Mfalme Mwema,Mwaminifu
Baba Mweza yote
Una nguvu Haushindwi
Pokea utukufu
(all)
Mfalme Mwema,Mwaminifu
Baba Mweza yote
Una nguvu Haushindwi
Pokea utukufu
(all)
Twakupa
Heshima na sifa zote
Ewe Mungu...
Nafsi yangu yakutamani - kama ayala
Ephraim Sekeleti
Views: 8,433
Nafsi yangu yakutamani,
Roho yangu yaona kiu,
Kama ayala, atafutavyo maji ya mto,
Baba, nafsi yangu yakutamani.
Nafsi yangu yakutamani,
Roho yangu yaona kiu,
Kama ayala, atafutavyo maji ya mto,...
Huniachi
Reuben Kigame, Sifa Voices, Gloria Muliro
Views: 8,313
Umeahidi wewe Bwana huniachi
Hadi mwisho wa dahari ulisema huniachi
Wewe ni Mungu uliye mwaminifu siku zote
Nipitiapo maji mengi au moto huniachi
Unalijua jina langu ewe bwana huniachi
Unatengeneza...
Liko Lango Moja Wazi - Lango ndiye yesu Bwana
Emachichi
Views: 8,260
Liko lango moja wazi, ni lango la mbinguni;
Na wote waingiao watapata nafasi.
Yesu ndiye lango hili, hata sasa ni wazi,
Kwa wakubwa na wadogo, tajiri na maskini.
Hili ni...
Hakuna Kama Wewe
Kathy Praise, Kathy Praise
Views: 8,205
Nakwabudu Mungu eeh
Naungana na Malaika baba
Pamoja na maseraphi ewe
Makerubi na wazee ishirini na wanne
Kusema hakuna kama wewe eeh
Hakuna kama Wewe, Hakuna kama Wewe
Hakuna kama...
Twonane Milele - Nyimbo Na Tuziimbe Tena
Dinu Zeno
Views: 8,146
.Nyimbo na tuziimbe tena za alivyotupenda mbele;
Kwa damu ya thamani sana! Mbinguni twonane milele.
Twonane milele, Twonane bandarini kule;
Twonane milele, Twonane bandarini kule.
Hupozwa kila aoshwaye, Kwa damu...
Bwana ni Mchungaji Wangu
Reuben Kigame
Views: 8,062
Bwana ni mchungaji wangu,
Sitapungukiwa kitu
Hun’laza penye majani mabichi,
Huniongoza kwa maji matulivu
Hakika wema nazo fadhili zitanifuata mimi,
Nitakaa nyumbani mwa Bwana,
Siku zote za maisha yangu
Hunihuisha...
Hakuna Mungu Kama Wewe
Evelyn Wanjiru, Mkhululi Bhebhe
Views: 7,943
Hakuna Mungu kama wewe Bwana (aaah aah ) No God like the Lord Hakuna Mungu kama wewe Bwana (aaah aah )Wamilele eeh eeh eehHakuna Mungu kama wewe Bwana (aaah aah...
Mimi Siwezi
Essence of Worship
Views: 7,835
Mimi siwezi neno lolote Bila wewe Yesu Mimi siwezi jambo lolote Bila wewe Yesu Mimi siwezi neno lolote Bila wewe Yesu Mimi siwezi jambo lolote Bila wewe Yesu ooh ooh...
Cha kutumaini sina ila damu yake Yesu
Mbarikiwa
Views: 7,639
Cha kutumaini sina, ila damu yake Bwana
Sina wema wa kutosha, dhambi zangu kuziosha
Kwake Yesu nasimama, ndiye Mwamba ni salama
Ndiye Mwamba ni salama, ndiye Mwamba ni salama
Damu...
Tunakuabudu - Wastahili ewe Bwana Kupokea utukufu
Dan Em
Views: 7,595
Tunakuabudu Bwana
Tunakuabudu.
Tunakuabudu Jehovah
Tunakuabudu.
Tukisema
Wastahili ewe Bwana
Wastahili ewe Bwaa
Wastahili ewe Bwana
Kupokea Utukufu.
Tunakuinua Bwana
Tunauinuia
Tunakubariki Bwana
Tunakukubariki
Tunakuheshimu Bwana
Tunakuheshimu
Wastahili ewe Bwana...
Umenibeba
Tumaini
Views: 7,539
Haijawa rahisi kufika hapa Ni mkono wa Mungu umenibeba Haijawa rahisi kufika hapa (It was not easy to come this far) Ni mkono wa Mungu umenibeba (The presence of the...
Unastahili Kuabudiwa
Krystaal Music
Views: 7,529
Unastahili kuabudiwa Unastahili wewe Yesu Unastahili kuabudiwaUnastahili wee (Wewe Baba Wetu)Unastahili kuabudiwa Unastahili wewe Yesu Unastahili kuabudiwaUnastahili wee (Mfalme wa wafalme) Unastahili kuabudiwa Unastahili wewe Yesu Unastahili kuabudiwaUnastahili wee (Wewe ni Mungu wetu)Unastahili kuabudiwa Unastahili wewe Yesu (Mfalme wa wafalme) Unastahili kuabudiwaUnastahili wee (Pekee...
Tenda - Call Me Favour Live Medley
Deborah Lukalu
Views: 7,431
Hakuna hakuna, Hakuna Mungu kama wewe Baba Hakuna hakuna, Hakuna Mungu kama wewe Baba Hakuna mwingine kimbilio langu Hakuna hakuna, Hakuna Mungu kama wewe Baba Hakuna mwingine Baba wa wajane Hakuna hakuna, Hakuna Mungu kama...
Usiyeshindwa - mataifa yote yanakufahamu
Sarah K
Views: 7,389
Mataifa yote, yanakufahamu
Kuwa wewe ni Mungu usiyeshindwa
Chorus:
Usiyeshindwa, usiyeshindwa
Wewe ni Mungu usiyeshindwa
Makabila yote, yanakufahamu
Kuwa wewe ni Mungu usiyeshindwa
Na kanisa lako, linakufahamu
Kuwa wewe ni...
Bwana U Sehemu Yangu
Elizabeth Nyambura
Views: 7,365
Bwana u sehemu yangu,
Rafiki yangu, wewe,
Katika safari yangu,
Tatembea na wewe.
Pamoja na wewe,
Pamoja na wewe,
Katika safari yangu,
Tatembea na wewe.
Mali hapa sikutaka,
Ili niheshimiwe,...
Hakuna Mungu Kama Wewe
Emachichi
Views: 7,361
Hakuna Mungu kama wewe Hakuna popote Hakuna mwenye ishara kubwa Kama ewe Mungu Si kwa majeshi Wala silaha Ni kwa roho mtakatifu Si kwa majeshi Wala silaha Ni kwa roho mtakatifu Nguvu za giza zimeshindwa Kwa jina la Bwana Yesu Nguvu za...
Nimfahamu Yesu - Nataka nimjue Yesu zaidi
Alice Kamande
Views: 7,327
Nataka nimjue Yesu
Na nizidi kumfahamu
Nijue pendo lake na
Wokovu wake kamili
Zaidi, zaidi, nimfahamu Yesu
Nijue pendo lake na
Wokovu wake kamili
Nataka nimwone Yesu
Na nizidi kusikia...
NI wewe wa kuabudiwa ni wewe
Tumaini
Views: 7,297
NI wewe wa kuabudiwa ni wewe
NI wewe wa kuabudiwa ni wewe
Wa kupewa sifa na utukufu na hesima ni wewe, mwenye nguvu na uwezo ni wewe
Wa kupewa sifa...
Wewe ni Mungu
Essence of Worship
Views: 7,254
Wewe ni Mungu Wewe ni Mungu Jina lako ni Bwana (Wewe ni Bwana wa Mabwana)Unadumu na kutawala Unastahili Unastahili Bwana Bwana Wewe ni Mungu Wewe ni Mungu Bwana Bwana Unastahili Unastahili Bwana Bwana Uweza ni wako Mamalaka ni yako Bwana Bwana Uweza...
Bwana Wewe ni Mwema
Boaz Danken
Views: 7,237
Bwana wewe ni mwema Wewe ni mwema Wewe ni mwema Wewe ni mwema Bwana wewe ni mwema Wewe ni mwema Wewe ni mwema Wewe ni mwema Umejawa huruma na upendo Wewe ni mwema Wewe ni mwema Kwa wema wako ... Wewe ni...
Enda Nasi
Reuben Kigame
Views: 7,129
Tunaomba uwepo wako uende nasi
Ewe Bwana wa majeshi utusikie
Kama huendi nasi, hatutaki kutoka hapa
Hatuwezi pekee yetu, enda nasi
Tu watu wa shingo ngumu tusamehe
Hatufai mbele zako,...
Wewe Watosha - Tunainua Mikono yetu
Joy Ambale
Views: 7,110
Bwana Nimekuja kwako Kuliinua Jina lako kwani Wewe watosha Wewe furaha yangu ooh Wewe watosha . . Bwana
Tumekuja kwako
Kuliinua Jina lako
kwani Wewe watosha
Wewe furaha yetu ooh...
Wastahili Bwana
Reuben Kigame
Views: 6,929
Wastahili Bwana.
Wastahili Bwana.
Ulikufa msalabani,
niokolewe,
wastahili Bwana
Wastahili Bwana.
Wastahili Bwana.
Ulibeba mizigo yangu,
sasa ni huru,
Wastahili Bwana
Uliacha utukufu wako.
Ukaishi kati yetu kwa mapendo.
Ulipatwa...
Ebenezer Nani Kama Wewe
Paul Mwai
Views: 6,920
Moyoni mwangu Yahweh nashukuru sana
Kwa wema wako na fadhili zako kwangu za milele
Matendo yako maishani mwangu ya tisha Jehovah
Natamani nifanane nawe Messiah Siku zote
Usiye badilika na...
Wakusifiwa
John Lisu
Views: 6,919
Wakusifiwa wakuabudiwa Ni wewe tu Mungu wa Miungu Wakusifiwa wakuabudiwa Ni wewe tu Mungu wa Miungu Wakusifiwa wakuabudiwa Ni wewe tu Mungu wa Miungu Ni wewe tu (Mungu wa...
Nakubaliana
Gloria Muliro
Views: 6,910
Nakubaliana na neno lako, Bwana.Nitasimama Kwa neno lako, Bwana. Nakubaliana na neno lako, Bwana.Nitasimama Kwa neno lako, Bwana... X2Ni Neno lako tu halibadiliki.Ni Neno lako tu la kutumaini.Umeliinua juu ya jina...
Bwana Mungu Nashangaa kabisa
Mary Kanemba
Views: 6,646
Bwana Mungu nashangaa kabisa,
Nikifikiri jinsi ulivyo,
Nyota, ngurumo, vitu vyote pia,
Viumbavyo kwa uwezo wako.
Roho yangu na ikuimbie,
Jinsi wewe ulivyo mkuu,
Roho yangu na ikuimbie,
Jinsi wewe...
Ninashuka Chini
Essence of Worship
Views: 6,594
Ninashuka chini Ninashuka chini sasa Yesu uinuliwe, Yesu uinuliwe Ninashuka chini Ninashuka chini sasa Yesu uinuliwe, Yesu uinuliwe Napungua ili wewe Bwana uongezeke Yesu uinuliwe Yesu uinuliwe Wengine wataja mali zao Bwana Yesu nalitaja jina lako Yesu uinuliwe, Yesu uinuliweNinashuka chini Ninashuka...
Mkono Wa Bwana - Tumeuona Mkono Wako Bwana
Zabron Singers
Views: 6,586
Tumeuona mkono wake Bwana
Mengi mazuri tumeyaona, Mungu umetenda
Ni kweli we muweza
Ulitamka vitu vikawa
Neno tu latosha
Ukisema umetenda
Bahari shamu Isiraeli
Ah uliwavusha
Kawatoa utumwani
Watumishi wako...
UMETUKUKA TWAKUHESHIMU
Isaac Kahura
Views: 6,537
Umetukuka twakuheshimu
Hakuna mwingine kama wewe
Wewe Mungu baba yangu
nakuinua nakuabudu
Wewe mwanzo tena mwisho
Sitwasikia yudah hutashindwa
Sauti yako twaielewa
Unaponena twasikia
Niseme nini nikuinue?
Niseme nini nikuabudu?...
Kwa Mji Wa Mwangaza
Godwin Ombeni
Views: 6,508
Kwa mji wa mwangaza hapana usiku, hautapita tena, hapana usiku Mungu atayafuta machozi na hasara hapo miaka itakoma hapana usiku 2Na mji ule hauhitaji jua wala mwezi kuuangaza kwa maana utukufu wa Mungu...
Siri Ya Machozi Yangu/Haya
Mercy Ken
Views: 6,501
Siri ya machozi haya ni wewe wajua
Siri ya machozi haya ni wewe wajua
Siri ya machozi haya ni wewe wajua
Siri ya machozi haya ni wewe wajua
Siri ya...
Baba naomba kubarikiwa nawe
Isaac Kahura
Views: 6,336
Macho yangu, nayainua,
Nibadilishe, Unibariki,
baraka zako, haina huzuni,
nizakudumu milele amina
Baba naomba, kubarikiwa nawe,
sitoki hapa usiponibariki
Baba naomba, kubarikiwa nawe,
sitoki hapa usiponibariki
ukabadilisha, Yakobo jina ukamwita,...
Nashangilia
Paul Clement
Views: 6,329
Nashangilia sababu Mungu, Amejibu haja ya moyo Wangu Kwa Imani yangu Amenijibu, Maswali Magumu Ya Moyo wangu, Ameniambia Amerejesha, kilichopotea aah Nami sina budi kushangilia, Japo sijaona Kwa Macho, Ila...
Nasema Asante
Sarah K
Views: 6,325
Nasema asante kwa Mungu wangu
Nasema Asante kwa wema wako
kwa maana fadhili zako zadumu milele na milele Amina.
Nitaimba sifa zako mbele ya watu wote
Nitaimba sifa zako mbele...
Unatosha - Nimeubeba Msalaba Wangu
Eunice Njeri
Views: 6,185
Nimeubeba msalaba wangu,
nikufuate wewe uliyenipenda
Nimeitua mizingo yangu kwako,
nakufwata wewe unayenipenda ×2
Bwana unatosha
Wanitoshaa... mungu wa agano
Wewe wanitosha ×2
Nasalimu amri yako eeeh baba
Sauti yako...
Umenifanya Ibada
Glorious Worship Team
Views: 6,152
Umenifanya Ibada Nikuabudu
umenipa kutumika chini ya pendo lako
Mamlaka na nguvu ninazo,
kufanya lolote utakalo
mamalaka na nguvu ninazo
maana we upo,ndani yangu
Umenifanya Ibada Nikuabudu
umenipa kutumika,chini ya...
Niguse Tena
Krystaal Music
Views: 6,144
Niguse tena, Niguse tena Ninaomba Baba niguse tena Niguse tena, Niguse tena Ninaomba Baba niguse tena Baba wa mbinguni Nasimama mbele zako Naleta mahitaji yangu, sijiwezi Baba Nilienda mahali pote, sikupata msaada Nategemea kwako leo, uniguse tena Ninaomba Baba...
Baba Yetu
Sifa Voices, Reuben Kigame
Views: 6,125
Baba yetu wa mbinguni tunaleta sifa kwako
Wewe hulinganishwi na yeyote duniani
Mbingu na nchi zakusifu, jua na mwezi vyakutukuza
Wanyama wa pori, ndege wa angani
Sifa tele kwako Bwana...
Haja Ya Moyo
Eliya Mwantondo
Views: 6,047
Hii ni haja ya moyo wangu Hii ni haja ya moyo wangu Kukaa nawe Kukaa nawe Kukaa nawe Bwana Hii ni haja ya moyo wangu Hii ni haja ya moyo wangu Kukaa nawe Kukaa nawe Kukaa nawe...
Mungu Mkuu - Zaidi Ya Yote
Evelyn Wanjiru
Views: 6,040
Zaidi ya yote
Utabaki kuwa Mungu mkuu
Alfa na Omega
Hubadiliki kamwe x2
Nikitazama nyuma na mbele
Naona ukuu wako
Kaskazini, kusini pia
naona ukuu wako
Magharibi nako mashariki pia...
Utukufu
Ali Mukhwana
Views: 6,009
Utukufu na heshima ni zako Bwana Ni zako Yahweh, ni zako usiyeshindwa Utukufu na heshima ni zako Ni zako usiyeshindwa Wewe uliyenihesabia haki Kwa neema yako, ni zako usiyeshindwa Mnara wangu wa utukufu Na kinga yangu, ni...
Yahweh
Essence of Worship, Eliya Mwantondo, Fred Msungu
Views: 5,998
Eh Mungu matendo yako yanishangaza Eh Bwana ukuu wako wanishangaza Nikufananishe na ni Bwana wangu Nikulinganishe na ni Bwana wang?Wastahili Ibada yahgu BwanaWewe uliyeketi Juu sana ninakuinua Maana hakuna aliye kama wewe Ninainua jina lako...
Kelele Za Ushindi
Paul Clement
Views: 5,938
Solo: Hizi ni kilele za nini?All: Hizi ni kalele za nini Solo: Mmepigana vita gani? All: Amepigana Bwana sio sisi Aiyee Aiyee Aiyee Kelele za washindi Aiyee Aiyee Aiyee Bwana ametupigania Aiyee Aiyee Aiyee Ametupa kushindaSolo: Mmepigana vita...
Omba Omba utafute uso wa Bwana
Florence Mureithi
Views: 5,931
Gethsamane Yesu Aliomba, Baba mapenzi Yako yatimizwe, Mungu kwa ajili yako na yangu kampa nguvu Akashinda
Nawe omba, omba, utafute Uso wa Bwana
Aonaye kwa siri, atakujibu kwa wazi
dada......
Sina Jina
Ashley Nassary
Views: 5,924
Jina lako lapita majina yote Ni jina la Yesu Yapo majina yalikuwepo ohooh Lakini jina Yesu linaishi Jina lako lapita majina yote Ni jina la Yesu Yapo majina yalikuwepo ohooh Lakini jina Yesu linaishi Sina jina lingine Ila jina...
Nimesogea Mtini Pako
Nuru Kitambo
Views: 5,912
Nasikia kuitwa na sauti yako
Nikasafiwe kwa damu, Ya kwangikwa kwako.
Nimesogea Mtini pako,
Unisafi kwa damu ya kwangikwa kwako
Ni mnyonge kweli,Umenipa nguvu,
Ulivyonisafi taka, Ni utimilivu.
Nimesogea Mtini...
Wastahili
Paul Clement
Views: 5,870
Viti havifai tena, wanainama mbele zako Wanazivua taji zao, wanaziweka mbele zako Hizo ni heshima zao, wanazileta mbele zako Viti havifai tena wanainama mbele zako Wanazivua taji zao, wanaziweka mbele zako Hizo ni heshima zao,...
Neno Lako
Godwill Babette
Views: 5,802
Hallelujah Haleluya amen Limeinuliwa limeinuliwa neno lako oh Kama vile jina, ina nguvu leo na milele Limeinu- limeinuliwa neno lako oh Kama vile jana lina nguvu leo na milele Oh Kama vile jana lina nguvu...
Kama Sio Wewe
Dan Em
Views: 5,788
kama sio wewe ningekuwa wapi mimi
kama sio wewe ningekuwa wapi mimi
ningekuwa wapi mimi
kama sio wewe ningekuwa wapi mimi
kama sio wewe ningekuwa wapi mimi
ningekuwa wapi mimi...
Elohim Adonai Yahweh - Jehovah
Frank Njuguna
Views: 5,778
Jehovah Adonai elohim
Elohim Adonai,Yahweh
Wewe ni Mungu wa Kweli
Elohim Adonai,Yahweh
Wewe ni Mungu wa Kweli
Jehovah
Elohim Adonai,Yahweh
Wewe ni Mungu wa Kweli
Jehovah Elohim
Elohim Adonai,Yahweh
Wewe...
Kama Si Mkono Wako
Dr Ipyana
Views: 5,746
Mwamba, Yesu Mwamba, acha nitangaze sifa zako!Jesus,Rock ages; Let me declare Your praises!Kama si Mkono wako, ningekuwa wapiIf it had not been for your Mighty Hand,where would I be?Nimesimama juu...
Mungu Baba twaomba uilinde nchi yetu
Rufftone
Views: 5,735
Mungu Baba twaomba, uilinde nchi yetu tuishi kwa umoja
Chuki si tumalize, tusameheane tupendaneNi wewe Mungu pekee
Mungu Baba twaomba, uilinde Kenya yetu tuishi kwa upendo
Chuki si tumalize, tuungane...
Aliyeniokoa
Essence of Worship
Views: 5,716
Aliyeniokoa, aliyeniokoaAliyeniokoa, ni Bwana Yesu Aliyeniokoa, aliyeniokoaAliyeniokoa, ni Bwana YesuNinamjua, aliye mwambaAliyeniokoa ni Bwana YesuNinamjua, aliye mwambaAliyeniokoa ni Bwana YesuAliyeniokoa, aliyeniokoaAliyeniokoa, ni Bwana YesuAmenikomboa, ameniweka huruAliyeniokoa, ni Bwana YesuAmeniponya, ameniweka...
WaKuabudiwa
Christina Shusho
Views: 5,680
Wakuabudiwa, wakuheshimiwa ni wewe mungu
Wakupewa sifa, na utukufu ni wewe mungu
Mungu mwenye nguvu, wastahili heshima zote
Hakuna mwingine, wakulinganishwa na wewe mungu (rudia)
Umesema wewe, jina lako liko...
Ahadi Zake
Marion Shiko
Views: 5,669
Nafsi yangu usichoke, roho yangu msifu Bwana
Alihadi atatenda, mtumanie Bwana
Ahadi zake ni za milele, akiahidi atatenda
Roho yangu nafsi yangu, mtumainie Bwana
Kama mvua ishukavyo, toka mbinguni kwenye...
Bwana Yesu - Wewe Ndiwe Baba Yangu
Eunice Njeri
Views: 5,638
Bwana Yesu, Bwana Yesu,
Kimbilio langu, ni wewe Baba
Tumaini langu, liko kwako Yaweh,
Mimi sina uwezo, sina Baba mwingine ila wewe
Mimi sina uwezo, sina Baba mwingine ila wewe...
Utukufu ni Wako
Sarah K
Views: 5,610
Utukufu ni wako, Hallelujah Utukufu ni wako, HaleluyaUtukufu ni wako, HaleluyaHale, Haleluya aah Utukufu ni wako, Hallelujah Utukufu ni wako, HaleluyaUtukufu ni wako, HaleluyaHale, Haleluya aahAah aaaah aaah Utukufu ni wako, Hallelujah Utukufu ni wako,...
Ni wewe tu Bwana
Solomon Shemanzi
Views: 5,594
Ni wewe tu Bwana, Ni wewe tu
Ni wewe tu Bwana ni wewe tu
Wewe ni mwanzo na mwisho Baba
Alpha Omega hilo ni Jina lako
Ushindi wako Baba ni...
Tumeshinda
Eunice Njeri, Godwill Babette
Views: 5,579
Jeshi la Bwana amka, tuvae silaha twende Tuimbe tushangilie, maana yote yawezekana All:Jeshi la Bwana amka, tuvae silaha twende Tuimbe tushangilie, maana yote yawezekana Eunice Njeri(all): Hakuna asiloweza, tumeshinda kwa jina la Yesu Tumesimama kazi ya...
Egemeo - Moyo Wangu Na Ukuinue kila Wakati
Godwill Babette
Views: 5,568
Roho wako Mwenyezi amenifanya jinsi nilivyo
Pumzi yako uhai wangu umefufua mifupa mikavu
Uhai umenipa Baba Yangu,
Umetuliza dhoruba wakati wa mawimbi
Moyo wangu na ukuinue kila wakati
Nafsi yangu...
Amini Amini Nakwambia
Angela Chibalonza
Views: 5,544
Amini amini nakwambia
Amini amini ujumbe mpya
Yeye aliyemwamini Bwana, anao uzima
Ni mwokozi aliyenifia
Nitoke dhambini alisema
Yeye aliyemwamini Bwana anao uzima
Amini amini nakwambia
Amini amini ujumbe mpya...
Karibu Yesu Karibu Moyo Wangu Uponye
Solomon Shemanzi
Views: 5,531
Nataka kufanana nawe
Nataka kufanana nawe
Nataka kufanana nawe
Moyo wangu upone
karibu Yesu Karibu, karibu Yesu karibu
Karibu Yesu karibu, moyo wangu uponye
Nataka kujazwa na roho
Nataka kujazwa...
Umejaa Neema
Dr Ipyana
Views: 5,531
Umejaa neema Yesu Umejaa neema Umejaa neema Yesu Umejaa neema Umejaa neema Yesu Umejaa neema Neema ya wokovu Umejaa neema Umejaa neema Yesu Umejaa neema Umejaa neema Yesu Umejaa neema...
Mfalme Mkuu
Kanjii Mbugua, Enid Moraa
Views: 5,520
ChorusWewe ndiwe, wewe ndiweWewe ndiwe mfalme mkuuNilikuwa nimekosa tumaini maishaniLakini Yesu akaniokoaNilikuwa niangamie, nianguke, nipoteeLakini Yesu akaniokoaPre-ChorusNapigwa na butwa, ninashangaa nimezubaaWema wako hauna kipimoNapigwa na butwa, ninashangaa nimezubaaNguvu zako, zako...
Nafsi Yangu Yakungoja Bwana
Martha Mwangi
Views: 5,519
Nafsi yangu, yakungoja Bwana
Kuliko walinzi, wangojavyo asubuhi
Naam kuliko walinzi
Wangojavyo asubuhi
Nafsi yangu yakungoja
Wale wote, wamngojao Bwana
Watafanywa upya, nguvu zao maishani
Naam kuliko walinzi
Wangojavyo asubuhi...
Habari Njema Raha Yangu - Ndiyo Dhamana
Solomon Mukubwa
Views: 5,437
Ndiyo dhamana, Yesu wangu, Hunipa furaha za mbingu, Mrithi wa wokovu wake, Nimezawa kwa roho wake. Habari njema, raha yangu, Yesu ndiye Mwokozi wangu, Habari njema, raha yangu, Yesu ndiye...
Wastahili mwanakondoo wa Mungu
Sarah Wangui
Views: 5,403
Mfalme wa mataifa wewe ni wathamana sana
mwana kondoo wa mungu uliyechinjwa,
upewe heshima, sifa na uwezo
mwana kondoo wa mungu uliyechinjwa,
wastahili, wastahili, wastahili
mwana kondoo wa Mungu, uliyechinjwa...
Wa Ajabu wewe wa ajabu
Mercy Linah
Views: 5,400
Ewe mungu wa miungu, umetukuka,
Muumbaji wa vyote duniani na mbingu,
Tunaa kuinamiya x2
Chorus
Wa ajabu wewe wa ajabu
Mfalme wa wafalme,
Mwenye enzi tunakuabudu
Utukufu na heshima,
kwako...
Ewe Kenya Nchi Yangu
Kakai Kilonzo
Views: 5,399
Huu wimbo ninaimba oh, sio wimbo ni maombi
Nikiomba Mwenyezi Mungu oh aibariki Kenya yangu
kwa jina la Baba na la Mwana oh, Roho Mtakatifu Amina
kwa jina la Baba...